‹ Nyuma
James Ikona
Hali:
Aliuwawa
Umri:
24
Wasifu:
Tumuombee ndugu yetu mpambanaji, Jimmy. Hakujitokeza kuandamana bali aliuwawa akiwa katika mihangaiko yake kutafuta riziki.
Alipoonekana mwisho: Mwanza
HAJAOA