James Xx
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Kigamboni
10/29/2025
Alikuwa kweny maandamano ya amani ila alivokwenda hakuludi hata ivo uko walikuwa wanauliwa bila sababu polis wanatumia silaha za moto kwa raia wasio na silaha yoyote si haki