Victim photo

Albert Kamala

Hali: Aliuwawa Umri: 68

Wasifu:

He was a father with a Son ,two daughters and well respected by the community.Farewell Uncle Albert. Alikuwa Baba mweny mtoto mmoja wa kiume na binti wawili. Alipendwa sana na kuheshimiwa katika jamii yake/ Kwa heri Anko Albert

Alipoonekana mwisho: Kilimanjaro

Alikwepo Pasua. Boma ya Mbuzi Moshi. Alikwepo kwenye mgahawa. Watu wasiojulikana wakamteka na kupiga sana. Mwili wake ulipatikana Holili.