‹ Nyuma
Kelvin Kabogo
Hali:
Aliuwawa
Umri:
21
Wasifu:
Mchezaji mpira nafasi ya golikipa, amecheza timu za iringa mjini ikiwemo Kihesa Fc
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Mwili wake ulionekana barabarani, ila haukupatikana popote tena