Juma Ndakidemi
Wasifu:
Ndugu yangu alikuwa kwenye eneo lake la biashara na alipigwa risasi na kuuwawa
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Tulimpeleka Hopsitali na kuhifadhi mwili lakini mwili ule hatukupewa na tukaambiwa hakuna mwili wake hospitali pale