Chrisostom Mpinda
Wasifu:
Alikuwa mrefu,mweupe akipenda kuvalia kofia
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Aliuliwa nje ya duka lake akiwa anafunga na mwili wake kupelekwa hospitali kuhifadhiwa,tangu hapo mwili wake haukupatikana tumezika nguo zake.