Harouna Iddy Uledy
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Mwanza
Nyamagana Nyakato
10/29/2025
Huyu Kijana Ni Rafiki Yangu Nimekuwa Nikimtuma Baadhi Ya Kazi Zangu Mara Ya Mwisho Nilimuona Mtaa Wa Libety Maduka Ya Vyombo Kukatokea Sintofahamu Ya Watu Kuandamana Na Jeshi La Police Lilifika Watu Wakakimbia Baada Ya Muda Vijana Hao Walirudi Pale Na Kwa Ushuhuda Wa Watu Ni Kwamba Alikamatwa Na Police Mpaka Sasa Hatujui Alipo Kinachonitisha Ni Aliekamatwa Nae Nimeona Amelipotiwa Kufariki