Dogo Bunju
Wasifu:
Tumuenzi Kwa siku maalum ya oktoba 29 Kila mwaka,kijana alikuwa mcheshi na mpambanaji sana R.I.P BUNJU🙏
Alipoonekana mwisho: Mbeya
Aliuawa Kwa kupigwa risasi wilayani kyela,mkoa wa mbeya siku ya tarehe 30,ameacha familia.