Masau Mululi
Wasifu:
Bwana Masau MULULI aliuwawa kwa kupigwa risasi,tarehe 29.10.2025 jioni ya saa 12:30 Mwanza, akiwa ameenda kazini kwake ya kulinda yard ya matofali na hardware ya mwajiri wake (0698027807) amabaye ni Askari jeshi akiwa kwenye kuangalia usalama wa mali ya mwajiri wake ndipo akapigwa risasi ya usoni na kufariki,kama inavyoonesha kwenye picha.Alipelekwa Mochuary, kusafirishwa ukerewe kijiji cha Selema na kuzikwa tarehe 6/11/2025.AKUMBUKWE.
Alipoonekana mwisho: Mwanza
Alisafirishwa kutoka Mwanza kwenda Ukerewe kijiji kwao Selema na kuzikwa tarehe 06.11.2025.
Bwana alitoa,bwana amemtwaa jina lake libarikiwe.
Akumbukwe kama mhanga wa kupigwa risasi na Pilisi siku ya maandamano.