‹ Nyuma
Hamisi Xx
Hali:
Aliuwawa
Umri:
—
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Ilala,Relini 10/29/2025 Aluawa pembeni ya barabara na gari ya polisi iliyopita na kushuti watu kiholela. Hakutafutwa maana mwili wake ulitelekezwa barabarani