Taji Nyosha
Wasifu:
Alikuwa kijana mchapakazi aliyekuwa anajihusisha na biashara ya kuuza duka la bidhaa alipigwa risasi alipokuwa akifunga duka lake ili arudi nyumbani
Alipoonekana mwisho: Mwanza
Aliuwawa kwa kupigwa risasi