Fred Juma Mali
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Geita
Aliuwawa kwa kupigwa risasi na polisi akiwa kituo cha bus akisubiri usafiri kwenda kazini maeneo ya Twiga (Mashapale) karibu na Round About barabara ya Nyankumbu, Geita Mjini.