Alute Augustino
Wasifu:
Alikuwa mfupi kawaida, Mwenye rangi ya maji ya kunde,Mnyaturu/Mrimi kutoka mkoa wa Singida ,Mcheshi,Mjasiriamali na mpigania haki kwa mambo yote yaliyo kinyume na utaratibu.
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alipigwa risasi Kariakoo tarehe 29 October 2025 na sisi kama ndugu hatupata nafasi ya kumzika kwani hatupata mwili wake hadi leo