Stephano Joshua
Wasifu:
Mcheshi nashabiki mkubwa sana wa Simba na Man United
Alipoonekana mwisho: Arusha
Aliuwawa kwa kukanyagwa kanyagwa na gari la polisi siku ya maandamano tarehe 29/10/2025. Tukio hilo lilitokea maeneo ya kibaoni Ngaramtoni, Arusha.