Victim photo

Nyamusha Nyamusha

Hali: Aliuwawa Umri: 36

Wasifu:

Aliuwawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani wakitoka kuangalia mpira.

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Tulimzika Musoma Mara, mwili wake tuliupata