Elieta Pendaeli Akyoo
Wasifu:
Alikuwa amehitimu chuo cha TIA-Mbeya kozi ya Uasibu ngazi ya shahada, alikuwa mpole mnyenyekevu, ni mzaliwa wa mkoani Aruaha, wilaya ya Meru
Alipoonekana mwisho: Mbeya
Alipigwa Risasi mkoani Mbeya