Benjamini Ramadhani
Wasifu:
Alikua mtu wa watu aliye eshimu na kuongea na watu wa rika zote
Alipoonekana mwisho: Mwanza
Aliuaawa mkoani mwanza, mwili wake ulipatikana na mazishi yakafanyika tabora tarehe 4 katika makaburi ya miogoni