Chuga Boy
Wasifu:
mchapakazi na mwenye uchungu na taifa lake Tanzania
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
alipigwa risasi akauliwa na mwili wake ukapelekwa hospitali ya Mwananyamala na video ya mortuary ya mwananyamala ilipovuja mwili wake ulionekana hapo,lakini wizara ya Afya Tanzania ilikanusha kuwa video ya mortuary ya mwananyamala ilikuwa fake