Titho Philemon Dyakiye
Wasifu:
Mhitimu wa Chuo cha SAUT Mwanza, Shahada ya Sheria, Mwanaharakati wa kupigania Haki, alipenda kusimamia ukweli.
Alipoonekana mwisho: Kigoma
Taarifa ya Mwisho inaonekana alitekwa na watu waliojitambulisha ni Askari Polisi punde baada ya Maandamano akiwa Mkoani Kigoma. Mpaka sasa hajulikani alipo.