Dementria Shayo
Wasifu:
Mama alikuwa mtu mcheshi, mchangamfu na mwenye upendo mkubwa kwa kila mtu. Ameacha watoto wawili ambao wataendelea kumuenzi kupitia maisha yao na matendo mema. Atakumbukwa daima kwa tabasamu lake, ukarimu wake na moyo wake wa huruma.
Alipoonekana mwisho: Arusha
Alipigwa risasi akiwa eneo la biashara yake.