Clara Xx
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Kwenye Maandamano ya kudai Haki ndipo alipopigwa risasi na Jeshi la Polisi bila hatia yoyote. Aalipelekwa Bochi Hospitali ambapo alipoteza uhai njiani akiwa anapelekwa hospitali ili kuokoa maisha yake