‹ Nyuma
Chuga Xx
Hali:
Aliuwawa
Umri:
—
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025 Aliuwawa na askari waliokuwa wanapiga watu risasi ovyo kwa wananchi waliokuwa wanaandamana na hata wasioandamana pia.