‹ Nyuma
Samily Hassan
Hali:
Aliuwawa
Umri:
9
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Aliuwawa kwa kupigwa risasi Mkazi wa Gongo la mboto. Alipigwa risasi nyumbani kwake na polisi alikuwa pamoja na mama yake Dorcas