Johnson Swai
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Arusha
10/29/2025
Alikwenda kwenye maandamano na taarifa ni kuwa alipigwa risasi na polisi waliokua wakizuia maandamano japo jeshi la polisi linakanusha mauwaji wala kusema mwili wake ulipo