‹ Nyuma
Enock Simbili
Hali:
Hajulikani Alipo
Umri:
—
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Songwe
Tunduma,Mwaka 10/30/2025 Alikuwa Nyumbani Polisi walikuja kumchukua wakati wakituliza maandamano na hadi sasa hapatikani kituo chochote cha polisi.