Nasri Sebastian
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Magomeni
10/28/2025
Ni mkazi wa magomeni na alisema atakwenda kuhudhuria maandamano ya amani lakini hajapatikana tena mpaka leo hi. Polisi hawaoneshi ushirikiano wowote