Abduli Ramadhani
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/31/2025
Kulikuwa na maandamano ya mahani yeye alikuwa kalibu na maeno ya kwao police wakapiga risasi. Police wamechukuwa mwili wake na kwenda nao mahali pasipo julikana