Hellen Nogela
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/30/2025
Binamu yetu alienda kununua mkate dukani lakini hakurudi tena
Baadhi ya majirani walisema walisikia mlio wa bunduki kwenye eneo alilokuwa binamu yetu, Kuna polisi walikuwa kwenye gari inadaiwa walionekana wamembeba mwanamke anayevuja damu kisha wakamtupa ndani ya gari kisha kutokomea kusikojulikana