Enock Njali
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Songwe
Tunduma
10/29/2025
Alipigwa risasi na jeshi la polisi Tanzania. Tumeenda mochwari tukamuona lakini siku ya pili tumeenda ili tukaizike tumeikosa na uongozi wa hospital Tunduma wamekaa kimya