Regani Munishi
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Tegeta
10/31/2025
Alikuwa akipata kifungua kinywa asubuhi ndio akapigwa risasi ya bega ,ndio akapelekwa hospitali mpaka mauti ikampata katika hospitali ya Mwananyamala