Yusuf Ali Muhindo
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
ubungo mbezi mwisho
10/29/2025
Alipigwa risasi na askari walipopita mtaani mida ya usiku akiwa anatoka nyumbani anakwrnda nunua maharage Yuko nje ya nyumba yake Sitaki shari