Doris Michael
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Ilikuja gari ya jeshi la police ikifyatua lisasi kwa kuwalenga raia ambao walikuwa hawana siraha yoyote na walikuwa hawapigi juu walikuwa wanalenga lisasi za mwilini ndio ilipompata Doris wakati akijaribu kukimbia na alifia pale pale. Walienda hospital