Yacob Andrea Mbuji
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Ubungo, Msewe
10/29/2025
Alikuwa Amebaki nyumbani kupisha maandamano lakini jeshi la polisi lilikuja kumbeba na kumpeleka kusipojulikana. Ndugu walimtafuta kote awakumpata