Josephine Aron Saimon
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Alipigwa Risasi ya mgongo wakati police wanapambana na wandamanaji akadondoka familia ilipojaribu kuufatilia mwili hawajapata hadi sasa. Walimtafuta hospitali na mochwari zote za jiji la Dar es salaam