‹ Nyuma
Hassan Majid
Hali:
Hajulikani Alipo
Umri:
—
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alisimamishwa na polisi simu yake ikachukuliwa na simu yake kukaguliwa wakasema ina picha za maandamano. Hajawahi kurudi na hajulikani alipo hadi leo