Ethan Mauye
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Arusha
10/30/2025
Kulikuwa na mapolisi wanawauwa watu mama yake alipata mshtuko kwa kusikia milio ya risasi akatoka kwenda kumtafutia dawa ila alivyotoka tu akapigwa risasi na kufariki hapo hapo