Victim photo

Justin Malena

Hali: Hajulikani Alipo Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

10/29/2025 Alipigwa Risasi wakati wa Shughuli ya Haki ya kikatiba ya Kiraia ya Kuandamana kutokana na uchaguzi usiokua huru na haki ulio tokea Tanzania siku ya tare 29 October tare ya kupiga kura wananchi wengi wali ungana kuandamana, ndugu yangu alikuwa nyumbani kwake na famailia yake Risasi wauaji walifika nyumbani kwake na kumpiga Risasi. Mwili wake ulichukuliwa na police na kupelekwa kusikojulikana