Victim photo

Joycelyne George Mafuru

Hali: Aliuwawa Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

10/30/2025 ALIUWAWA NA POLISI KWA KUPIGWA RISASI TANO ZA KIFUANI AKIWA NA MWANAE KWENYE GARI. WALIKWENDA HOSPITAL YA MWANANYAMALA NDIKO WALIKUTA MWILI WAKE PALE