Leila Mafanya
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Arusha
11/28/2025
Alipigwa risasi na polisi ambao walipewa maagizo na raisi Samia Suluhu Hassan siku ya uchaguzi na sio huyu tu wamekufa wengi sana yalikuwa ni mauaji ya kimbali nchini kwetu Tanzania wameuliwa watu wengi sana zaidi ya 3000+. Ametafutwa hospitali Arusha mjini