‹ Nyuma
Mpate Mbweni Maduhu
Hali:
Hajulikani Alipo
Umri:
—
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Mwanza
10/29/2025 MAANDAMANO YA AMANI TU ILA ALIPIGWA RISASI YA MOTO HADHARANI NA ASKARI POLISI. Ametafutwa hospitali ya Bugando