Deogratius Deodatus Leonard
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
UBUNGO KIBO
11/29/2025
Alitoka.Nyumbani asubuhi akaenda dukani hakurudi. Alitafutwa polisi na hospitali nyingi ikiwemo GOGONI,MBURAHATI.OSTABAY.MAGOMENI,CESTRAL