Maiko Joseph Kulwa
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Pwani
Mapinga-Bagamoyo
10/29/2025
Alikuwa kwenye Bajaji alivyofika Basiaya waliamriwa na askari kushuka kwenye Bajaji na Baadye wakawashoot.Tulichukua Mwili wake Kelege Hospial nakuuzika hapa mapinga