Mariamartha Charles Kailembo
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/30/2025
Kulingana na maelezo kutoka kwa rafiki yangu ambae ni bint yake, anasema mama yake alipigwa risasi ya tumbo siku ya tarehe 30 October akiwa amesimama nje ya duka baada ya kununua dawa za mjukuu wake maeneo jirani na nyumbani kwake.