Victim photo

Selestian Joseph

Hali: Hajulikani Alipo Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

10/30/2025 Polisi au genge la watu wa samia lilikuwa linapita na kuua raia ovyo mitaani. Polisi wanatoa vitisho na hawajali taarifa hizo