Christina John
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/28/2025
Ilikuwa tareh 29th wananchi tulikuwa na maandamano ya Amani katika inchi yetu ili kuwatetea walio tekwa na walio uawa katika inchi yetu... baad ya apo police walianz kupiga risasi na kuuwa watu bila sababu ya msingi na wengine wameuawa ata wakiwa majumban mwao watu weng san wamekufa