James Mbwambo
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Ni mwuuza simu alipigwa risasi tarehe 29 mchana na mwili wake haujapatikana. Ila kwenye video ya miili iliyokuwa imehifadhiwa Mwananyamala alionekana na nguo zake. Hadi sasa mwili wake haujapatikana